Antonio Conte
Image captionAntonio Conte

Viongozi wa ligi kuu ya Uingereza Chelsea ni timu tofauti na ile ilioanza msimu,lakini ni sharti inyenyekee,mkufunzi wake Antonio Conte amesema.
Timu hiyo iliishinda Tottenham Hotspurs 2-1 katika uwanja wa Stamford Bridge hivyo basi kujipatia ushindi wa 7 mfulululizo.
Ushindi huo umeimarisha uongozi wa klabu hiyo katika kilele cha ligi.
Nadhani sasa tuna timu tofauti, tuna motisha tofauti, na ni muhimu kuendelea kuwa wanyenyekevu, alisema Conte.
Unaposhinda dabi muhimu,lazima ufurahie lazima tuendelee kufanya kazi.

0 comments :

Post a Comment

 
Top
Godysamtz.blospot.Com