
Mwaka 2016 unazidi kumtendea haki rapper Darassa upande wa muziki wake kwani amekua akitoa hit baada ya hit huku akipata shangwe la kutosha kutoka kwa mashabiki.
Darassa amevunja rekodi ya kuwa msanii wa pili wa Hip-Hop Tanzania ambaye video yake ya ‘Muziki ‘aliyomshirikisha Ben Pol imetazamwa na zaidi ya watu milioni moja ndani ya wiki mbili kwenye mtandao wa YouTube huku rekodi hiyo ikishikiliwa na A.Y kupitia video yake ya Zigo remix aliyomshirikisha Diamond Platnumz iliyofikisha zaidi ya watazamaji milioni moja ndani ya wiki moja.

0 comments :
Post a Comment