By
Gody sam 
on
Msanii wa Bongofleva Darassa Jumapili ya December 18 2016 akiwa njiani kutokea Kahama Shinyanga kuelekea Geita, amepata ajali akiwa na director wa video za Bongofleva Hanscana.
screen-shot-2016-12-19-at-12-17-32-am
Darassa na Hanscana wamepata ajali wakiwa katika gari aina ya Toyota Harrier nyeusi yenye namba za usajili T 503 DGQ lakini taarifa ambazo Godysam Tz imezipata ni kuwa mastaa hao wapo salama.

0 comments :

Post a Comment

 
Top
Godysamtz.blospot.Com