By
Gody sam 
on
Miongoni mwa wakali wa Comedy huwezi kuacha kumtaja Eric Omondi kutokea Kenyaambaye huwa anafanya covers mbalimbali za nyimbo za wasanii hasa zinazotrend, ameirudia kivingine ‘Kuliko jana’ ya Sauti Sol ambapo ameipa title ya ‘kuliko jana Refix’. 
Unaweza kutazama kwa kubonyeza play hapa chini, ukishaitazama usiache kuniachia comment yako.

0 comments :

Post a Comment

 
Top
Godysamtz.blospot.Com