Ni Kweli Nafasi ya Diamond Imechukuliwa na Darassa? By Gody sam on December 5, 2015 Kutokana na ngoma aliyotoa Darassa kuifunika ngoma ya Rich Mavoko aliyomshirikisha Diamond, inasemekana kuna dalili tosha kuwa Diamond kijiti anaanza kumpatia Darassa taratibu bila yeye kujua.Je kuna ukweli wowote hapo??? Weka maoni hako hapo chini.
By Gody sam on December 5, 2015 Kutokana na ngoma aliyotoa Darassa kuifunika ngoma ya Rich Mavoko aliyomshirikisha Diamond, inasemekana kuna dalili tosha kuwa Diamond kijiti anaanza kumpatia Darassa taratibu bila yeye kujua.Je kuna ukweli wowote hapo??? Weka maoni hako hapo chini.
0 comments :
Post a Comment