By
Gody sam 
on
Ni siku chache toka habari kuripotiwa kwenye Magazeti kwamba msanii wa TipTop Connection Tunda Man amejiondoa kwenye kundi hilo baada ya kuona mambo hayaendi.
Tunda Man alihojiwa na kusema ‘kiukweli mimi na Tale hatuko sawa, kosa silijui…. labda kuna kitu nimemkosea au ameamua tu kukasirika na hii kuwa mbali na Boss wangu kwenye kazi zangu ninazozifanya mwenyewe tu inauma, najutia kuwa mbali na Babu Tale
Leo AyoTV Entertainment imempata Babu Tale kwenye Exclusive Interview kuelezea upande wake kwenye hii video hapa chini

0 comments :

Post a Comment

 
Top
Godysamtz.blospot.Com