
NIT ALL STARS ni kundi la wasanii wanaotokea katika chuo cha taifa cha usafirishaji(NIT) wanakuja kwa kasi sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya yani Bongo fleva.
Wasanii hao ni Chiqo Appetizer, Lady fire, Yusta, Young show, Tunche the best, Neponova, S2kizzy.
0 comments :
Post a Comment