By
Gody sam 
on
Lady Jaydee na Clouds Media Group hawakuwa kwenye uhusiano mzuri kwa kitambo na hii ilipelekea mpaka kesi Mahakamani na Clouds ikashinda kesi
Sasa habari kubwa ya November 30 2016 ni kauli ya Management ya Lady Jaydee ikiwa ni baada ya Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Ruge Mutahaba kusema kwamba nyimbo za Jide zinaweza kuendelea kupigwa iwapo yeye mwenyewe ataruhusu maana alikataza na jina lake lisitajwe.
Uongozi unaomsimamia Lady Jaydee umemuandikia Mtangazaji Millard Ayo tamko rasmi baada ya hiyo kauli ya Ruge Mutahaba,
 

0 comments :

Post a Comment

 
Top
Godysamtz.blospot.Com